Wakenya wanaoelekea Qatar kutazama Kombe la Dunia kwa ufadhili wa Coca Cola

  • | West TV
    35 views
    Huku ulimwengu mzima ukisubiri Dimba la Kombe la Dunia kuanza katika taifa la Qatar siku ya jumapili, kampuni ya vinywaji ya Coca Cola imejitolea kufadhili wakenya wanne kuenda kujionea dimba hilo na kuwaletea Wakenya wengine hafla za kujionea mashindano hayo kwa njia mbalimbali na hata kupata zawadi kemkem.