Wakenya wanaweza kupata huduma za serikali elfu kumi zilizo kwenye jukwaa la kidijitali

  • | KBC Video
    12 views

    Wakenya wanaweza kupata zaidi ya huduma za serikali elfu kumi zilizo kwenye jukwaa la kidijitali likiwa ni ongezeko la huduma za mtandaoni za serikali kutoka mia tatu ishirini. Akizungumza wakati wa kuadhimisha sherehe za miaka kumi ya maabara ya utafiti ya kampuni ya (IBM) barani Afrika katika chuo kikuu cha Catholic University of Eastern Africa jijini Nairobi, Rais William Ruto alisema kuwekwa katika mfumo wa dijitali huduma zote za serikali kutahakikisha ufanisi pamoja na kuondolea mbali ufisadi pamoja na uharibifu wa rasilimali za umma.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News