Wakenya wanne waliotekwa nyara waachiliwa huru

  • | KBC Video
    79 views

    Watumiaji wanne wa mitandao ya kijamii waliotekwa nyara na watu wasiojulikana mwaka uliopita wamerejea kwa familia zao. Billy Mwangi, Peter Muteti, Bernard Kavuli na Ronny Kiplangat walipatikana wakiwa hai katika maeneo mbalimbali. Mchoraji vibonzo wa kidijitali Gideon Kibet anayejulikana kama Kibet Bull na Steve Mbisi bado hawajulikani waliko.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News