Wakenya wanne wamebahatika kuwa washindi wa Shabiki Jackpot Mbao

  • | Citizen TV
    488 views

    Wakenya wanne wamebahatika kuwa washindi wa shilingi milioni 21, elfu 264, mia moja tisini na tano kwenye shindano la Shabiki Jackpot Mbao baada ya kubashiri mechi 31. Robert Oigo kutoka Eldoret, Peter Wanjiru kutoka kikuyu na Isaya Meki kutoka Kitale ni miongoni mwa washindi wanaopokea hundi leo. Kwa sasa tujiunge moja kwa moja na kikosi cha Shabiki.Com kwenye hafla ya kutoa hundi kwake Peter Wanjiru.