Wakenya wanunua vitabu kwenye maktaba ya meli jijini Mombasa

  • | Citizen TV
    624 views

    MAMIA YA WAKENYA NA WATALII WALIPATA FURSA YA KIPEKEE YA KUJIONEA MAKTABA KUBWA INAYOELEA KWENYE MELI YA MV LOGOS HOPE ILIYOKO MOMBASA. AIDHA WALIPATA NAFASI YA KUNUNUA VITABU KUTOKA KWENYE MAKTABA HIYO. MELI HIYO ILIWASILI NA ABIRIA MIA TATU HAMSINI KUTOKA MATAIFA MBALI MBALI NA INA UWEZO WA KUBEBA TAKRIBAN ABIRIA MIA NANE.