Wakenya wapinga mswada wa fedha kupitishwa bungeni

  • | KBC Video
    23 views

    Baadhi ya wakenya wamejitokeza kwenye mitandao ya kijamii kutoa wito kwa wabunge kusikiliza kilio chao kuhusu mswada wa fedha wa mwaka 2024. Kwa kutumia alama mbalimbali za reli almaarufu hashstegi, wakenya hao wanadai kuwa mswada huo ukipitishwa, utasababisha maisha kuwa magumu zaidi kwa watu wengi wanaotatizika.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive