Wakenya watahadharishwa kuhusu kupanda kwa mafuta

  • | Citizen TV
    3,215 views

    Wakenya wametakiwa kujitayarisha kwa uwezekano wa kupanda kwa bei ya mafuta ya petroli hadi shilingi 300 hivi karibuni. Waziri wa Kawi David Chirchir anasema kuwa bei hii huenda ikapanda kutokana na vita vitavyoendelea katika ukanda wa Gaza. Haya yamesema kwenye kikao cha kamati ya uwiano ambapo mawaziri kadhaa walifika leo.