Wakenya wataka rais Ruto kupunguza gharama ya maisha katika hotuba yake

  • | Citizen TV
    584 views

    Hotuba Ya Rais Kwa Taifa Inajiri Wakati Ambapo Kenya Inakabiliwa Na Gharama Ya Juu Ya Maisha Tangu Serikali Ya Kenya Kwanza Ilipotwaa Uongozi. Japo Serikali Mara Kwa Mara Imezungumzia Mbinu Za Kukabiliana Na Hali Hii, Wakenya Wanahisi Kuwa Rais Anastahiki Kuchukua Hatua Za Dharura. Yafuatayo Ni Baadhi Tu Ya Maoni Ya Wakenya Wachache Kuhusu Mustakabali Wa Kenya Kwa Sasa