Wakenya watakiwa kujiepusha na ufisadi katika harakati za usajili wa makurutu wa KDF

  • | Citizen TV
    518 views

    Zoezi la kuwasajili makurutu wa polisi limeanza rasmi hii leo huku Idara ya Jeshi ikiwaonya wakenya na hata maafisa wa usalama dhidi ya kujihusisha na ufisadi. Kwenye kikao na wanahabari muda mfupi uliopita, Naibu Mkuu wa Majeshi Luteni Generali Jonah Mwangi amesema kuwa Idara ya Ulinzi iko ange kuwakabili wanaojihusisja na ufisadi kujiunga na jeshi. Zoez hili linaendelea kote nchini