Wakenya watakiwa kuwa na tahadhari msimu wa sherehe

  • | Citizen TV
    980 views

    Halmashauri ya maswala ya bahari na maziwa nchini kma imepiga marufuku shughuli za kuogelea baada ya saa kumi na mbili jioni katika fuo za bahari nchini. Halmashauri hii ikisema hatua hii inalenga kuzuia majanga haswa msimu wa sherehe za krisimasi na mwaka mpya.