Wakenya watakiwa kuwajali wenzao barabarani

  • | Citizen TV
    Wakenya watakiwa kuwajali wenzao barabarani Kamanda wa trafiki azindua ripoti ya ajali Idadi ya ajali nchini imeongezeka kwa asilimia 24 Wanaotembea wameripotiwa kuwa waathiriwa wakuu