- 279 views
Wakenya wametakiwa kuzingatia kanuni za trafiki ili kuepuka maafa barabarani. Akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa kanuni za usalama wa barabarani, afisa wa uchunguzi katika kampuni ya Directline Wilson Maina alibaini kuwa idadi kubwa ya ajali zinasababishwa na kutofuata kanuni za trafiki. Maina aidha aliipongeza serikali kwa kuzindua matumizi ya teknlojia ili kuimarisha usalama wa madereva na abiria. Kulingana na takwimu kutoa mamlaka ya NTSA, zaidi ya watu 1000 wameangamia kutokana na ajali za barabarani kati ya mwezi Januari na Aprili mwaka huu .
Wakenya watakiwa kuzingatia kanuni za trafiki
- - Duniani Leo ››
- 1 Jul 2025 - More than 14 million of the world's most vulnerable people, a third of them small children, could die because of the Trump administration's dismantling of US foreign aid, research projected on Tuesday.
- 1 Jul 2025 - Bangladesh on July 1 marks one year since students launched protests that culminated weeks later in the overthrow of the government.
- 1 Jul 2025 - A middle-aged man shocked an Eldoret court after confessing that he deals in bhang business as his only source of income.
- 1 Jul 2025 - Cameroon's Tourism Minister Bello Bouba Maigari has accepted his party's nomination to seek the presidency in an expected October election, with long-serving President Paul Biya yet to announce whether he plans to run for reelection.
- 1 Jul 2025 - KEBS has received several complaints.
- 1 Jul 2025 - The bill is "utterly insane and destructive". — Elon Musk
- 1 Jul 2025 - His quest for freedom has been denied at the High Court and Court of Appeal.
- 1 Jul 2025 - Police said they are investigating to establish whether the man drowned or was killed and dumped there.
- 1 Jul 2025 - The woman had a stab wound in the head.
- 1 Jul 2025 - Usaid-funded programs have prevented more than 91 million deaths globally, including 30 million deaths among children.