Wakenya watambua simu walizoibiwa maeneo tofauti

  • | K24 Video
    207 views

    Maafisa wa polisi jijini Nairobi wanaendelea na uchunguzi wa simu za wizi zilizonaswa kasarani. Maafisa hao pia wanafuatilia jinsi wakenya wanazitambua simu zao katika kituo cha Kasarani.