Wakenya watatu wamewasilisha kesi mahakamani wakipinga vikao vya kamati ya mazungumzo

  • | Citizen TV
    2,662 views

    Wakenya watatu wamewasilisha kesi mahakamani kupinga vikao vya kamati ya Pamoja ya Mazungumzo inayoongozwa na kiongozi wa wengi Kimani Ichngwa na kiongozi wa Azimio Kalonzo Musyoka.