Wakenya watoa hisia msetokuhusu uongozi wa Rais Ruto

  • | Citizen TV
    1,022 views

    Wakenya wametoa hisia mseto kuhusu uongozi wa Rais William Ruto miaka miwili baada ya kuapishwa rasmi. Japo baadhi wanasifia juhudi zake za kuimarisha sekta ya kilimo na miundomsingi, hali ngumu ya maisha na kutotimizwa kwa ahadi nyingi anazotoa kunawakera wengine. Haya ni baadhi ya maoni kutoka maeneo mbalimbali nchini.