Wakenya watoa maoni Yao kufuatia ushindi wa Harambee Stars dhidi ya DRC

  • | Citizen TV
    8,821 views

    Kufuatia ushindi huo wa Harambee Stars, Wakenya waliotazama mechi hiyo walieleza furaha yao, huku wakiwa na matumaini kwamba timu hii ya taifa itaendelea kufanya vyema katika mashindano hayo ya CHAN. Mashabiki wa DRC ambao pia walikuwa uwanjani Kasarani walielezea hisia zao baada ya mechi hiyo ya kwanza ya kundi A...