- 16,115 viewsDuration: 3:16Wakenya wawili waliotekwa nyara na kusalia mikononi mwa magaidi wa Al Shabab kwa miezi 19, sasa wanaitaka serikali kuwafidia. Miaka 12 baada ya kuachiliwa, Yesse Mule na Fredrick Wainaina walitekwa nyara mwaka wa 2012 wanasimulia mateso waliyopitia nchini Somalia.