Skip to main content
Skip to main content

Wakenya wawili wapeleka kesi kupinga mkataba wa usimamizi wa Nairobi kati ya kaunti na serikali

  • | Citizen TV
    2,762 views
    Duration: 2:56
    Wakenya wawili wamewasilisha kesi mahakamani kupinga mkataba uliotiwa saini hapo jana kati ya kaunti ya Nairobi na serikali ya kitaifa kuhusu usimamizi wa majukumu ya jiji hili kuu. Kulingana na wawili hao, Benard Peter na Christine Gathoni, mkataba huo umekiuka sheria na hatua hiyo ni hujuma kwa ugatuzi. Wawili hawa wanaitaka mahakama kutupilia mbali mkataba huo uliosainiwa ikulu hapo jana