Wakenya wendelea kutoa hisia zao za kutoridhishwa na uamuzi wa kubinafsisha mashirika ya serikali.

  • | K24 Video
    93 views

    Wakenya na viongozi wameendelea kutoa hisia zao za kutoridhishwa na uamuzi wa kubinafsisha mashirika ya serikali. Baadhi ya wakenya wanalaumu viongozi wao kwa kushindwa kutoa ushauri unaofaa kwa serikali. Seneta wa Busia Okiya Omtata ameapa kupinga hatua hiyo ya serikali. hadi sasa,wizara ya fedha imetangaza mashirika 11 ambayo yanapangwa kubinafsishwa likiwemo jumba la KICC, na kampuni za Kenya Pipeline na Kenya seed.