Wakenya wengi wanahisi kenya inaongozwa visivyo

  • | Citizen TV
    2,870 views

    Huku mwaka wa 2023 ukielekea ukingoni, wakenya wengi bado wanalalamikia gharama ya Juu ya maisha na kuzorota kwa hali ya uchumi wa taifa. Kura mbili za maoni zilizotolewa leo na kampuni za TIFA na Infotrak zikionyesha kuwa asilimia kubwa ya wakenya wanahisi kuwa taifa linaelekezwa pabaya. Na kama Mary Muoki anavyoripoti, serikali imepewa alama mbovu zaidi kwa utendakazi wake