Wakenya wengi wanaoishi Lebanon wasita kurejea nyumbani

  • | KBC Video
    36 views

    Serikali imesema wengi wa wakenya elfu 26 wanaoishi nchini Lebanon wanasita kurejea nyumbani, licha ya mashambulizi yanayotekelezwa na Israeli katika jiji kuu Beirut.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive