Wakenya wengi wataka hazina ya NG-CDF iendelee kuwepo katika ngazi ya maeneobunge

  • | Citizen TV
    64 views

    Wakenya wengi wanataka hazina ya NG-CDF iendelee kuwepo katika ngazi ya maeneobunge. kauli hii imetolewa kwenye vikao vya kukusanya maoni kuhusu iwapo hazina hiyo inafaa kutupiliwa mbali au kuendelea kufadhiliwa na serikali. Michael Mutinda anaarifu zaidi