22 Aug 2025 1:39 pm | Citizen TV 204 views Duration: 1:13 Equity group foundation imeandaa kongamano la 16 la elimu na uongozi, litakalowaleta pamoja wanafunzi 4,404 wanaofaidika na mpango wa Wings to fly na ule wa elimu.