Wakfu wa Equity wasaidia wanafunzi kutoka familia masikini huko Kilifi

  • | Citizen TV
    108 views

    Umaskini katika kaunti ya Kilifi umechangia watoto kuacha shule na kuozwa mapema. Mpango wa ufadhili wa masomo wa Wings to Fly unaotolewa na wakfu wa Equity unawasaidia wanafunzi walioathirika na umaskini kukamilisha masomo yao.