Wakfu wa FORD wajitenga na madai ya kufadhili maandamano

  • | KBC Video
    107 views

    Kundi moja la mashirika ya kijamii limepuuzilia mbali madai ya kufadhiliwa kwa maandamano ambayo yamekuwa yakishuhudiwa nchini na kusababisha vifo vya watu kadhaa na uharibifu wa mali. Kundi hilo liliikosoa serikali kwa kuhusisha makundi ya kijamii na ghasia ambazo zimekuwa zikishuhudiwa nchini. Kundi hilo hata hivyo limesema kuwa halitaacha jukumu lake la kushinikiza uwajibikaji na uongozi bora na kulinda haki za binadamu kuambatana na kanuni za katiba. Timothy Kipnusu anaarifu zaidi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive