Wakfu wa NMG watoa misaada kwa wanafunzi Kisumu

  • | NTV Video
    286 views

    Wakfu wa Nation Media Group hii leo umewasilisha msaada wa madaftari, sodo na vitabu kwa shule nne za kaunti ya Kisumu znazosomea katika shule moja baada ya shule tatu kufurika maji wakati wamvua ya masika kutokana na Ziwa Victoria kuvunja kingo zake.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya