Wakfu wa ushirika wema wazindua visima viwili Embakasi

  • | Citizen TV
    293 views

    Wakfu wa Ushirika Wema ulizindua visima viwili vya maji katika chauo cha mafunzo ya Kikosi Maalum cha Polisi (GSU) eneo la Embakasi, Nairobi, kwa lengo la kuboresha upatikanaji wa maji safi kwa maafisa hao wa usalama