Wakfu wa Waridi waandaa mashindano wa raga kama njia kupiga vita wa uharibifu wa mazingira Lamu

  • | NTV Video
    38 views

    li kupiga vita uharibifu wa mazingira na ukataji miti aina ya mikoko katika visiwa vya Lamu, pamoja na kukuza ufahamu wa haja ya utunzaji mazingira na udumishaji wa afya, Wakfu wa Waridi Uliandaa mashindano ya mchezo wa raga ufuoni Lamu wakati wa tamasha za lamu juma hili. Mkurugenzi mtendaji wa wakfu HUO WA waridi jennifer wairimu aliongoza mashirika KADHAA na viongozi mbalimbali kuWAhusisha wanarika katika harakati za uhifadhi wa mazingira kupitia MCHEZO WA RAGA YA UFUKWENI . Labaan Shabaan anaarifu.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya