wakimbizi wa mashambulizi ya Kigaidi Lamu wapata matibabu

  • | Citizen TV
    212 views

    Zaidi ya watu Mia mbili (200) wakimbizi wa mashambulizi ya Kigaidi katika maeneo ya Salama wadi ya Mkunumbi kaunti ya Lamu waliopata hifadhi ya Muda katika shule ya msingi ya Juhudi wamepata maambukizi ya magonjwa vifua,Kukohoa na ķuharisha kutokana mazingira Duni ya eneo wanamolala