Wakimbizi waanzisha biashara kwenye kambi ya Kakuma

  • | Citizen TV
    1,329 views

    Kundi la wakimbizi ambao wamekaidi vikwazo vilivyowekwa dhidi yao wameanzisha biashara zinazostawi kwenye kambi ya wakimbizi ya kakuma. Wakimbizi hao wamekiuka hali zao na kuchangia uchumi wa shilingi bilioni saba katika kambi hiyo.