- 382 viewsWatu 11 waliuawa katika mashambulizi mawili karibu na mji wa Beni mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, maafisa wa eneo hilo waliiambia AFP Jumapili, wakituhumu kundi la waasi wa ADF kufanya mashambulizi hayo. “Shambulio lilifanyika Jumamosi usiku na kwa bahati mbaya tulipoteza raia sita, alisema Augustin Kapupa, afisa katika mtaa wa Matembo ambako shambulio la kwanza lilifanyika. Kapupa amewatuhumu waasi wa ADF kuhusika na shambulio hilo, kihistoria likiwa kundi linaloundwa na muungano wa waasi wengi wao wakiwa Waislamu na ambalo lilianzishwa mashariki mwa DRC mwaka wa 1995. Wafuasi wake wameua maelfu ya raia tangu wakati huo. Kundi hilo, moja ya makundi ya wanamgambo yanayotekeleza mauaji mabaya katika eneo hilo lenye mzozo, lilitangaza kuwa chini ya uongozi wa kundi la Islamic State mwaka wa 2019. “Baada ya mauaji ya ADF huko Matembo, walitujia hapa Sayo, na kutuacha tukiomboleza vifo vya watu watano,” alisema mkuu wa eneo hilo Antoine Kambale. Afisa wa Beni, Makofu Bukuku aliiambia AFP kwamba idadi ya vifo huko Sayo inaweza kuongezeka, kwa sababu waasi bado wapo katika eneo hilo. Bukuku amesema alitumai kwamba jeshi la Congo katika eneo hilo, pamoja na wanajeshi wa Uganda na kuwepo kwa kikosi cha kulinda amani cha MONUSCO, ilikuwa inatosha kuwaepusha na hatari ya mara kwa mara. “Tangu mwanzoni mwa mwaka huu, tumerekodi vifo na utekaji nyara tu,” alisema. - AFP #goma #kivukaskazini #jimbo #waasi #m23 #raia #makombora #sake #gavana #cirimwani #mejajenerali #voa #voaswahili #sake #kivukaskazini #hospitali #kituochaafrika #daktarindoolemute #drc #goma
Wakimbizi wakabiliwa na ukosefu wa chakula na tishio la M23
- - Duniani Leo ››
- 13 Aug 2025 - Europe's car exporters are still struggling with uncertainty over U.S. tariffs despite last month's trade deal, Wallenius Wilhelmsen, the operator of one of the world's largest car-carrier fleets, told Reuters on Tuesday.
- 13 Aug 2025 - Prime Minister Donald Tusk said on Tuesday that Poland will expel 63 Ukrainians and Belarusians for causing trouble at a rap concert.
- 13 Aug 2025 - Ford is recalling more than 103,000 F-150 pickup trucks in the U.S. over axle bolts that may break and result in vehicle rollaways or a loss of drive power, the U.S. National Highway Traffic Safety Administration said on Tuesday.
- 13 Aug 2025 - The National Assembly’s Defence, Intelligence and Foreign Relations Committee has questioned the government’s laxity in pursuing suspected militia from Ethiopia linked to the disappearance and killing of more than 40 people in Todonyang, Turkana County.
- 13 Aug 2025 - Elon Musk has taken his feud against OpenAI to the App Store, accusing Apple of favoring ChatGPT in the digital shop and vowing legal action.
- 13 Aug 2025 - Nearly 50 prisoners broke out from a jail in the southwest Democratic Republic of Congo in the night from Monday to Tuesday, according to local sources.
- 13 Aug 2025 - Ruto is not empowering youth; he is manipulating them with fake mercy
- 13 Aug 2025 - State now abandons plans for Sh468b Nairobi-Mombasa expressway
- 13 Aug 2025 - House team wants BATUK deal halted over rights abuses
- 13 Aug 2025 - Will AfCFTA survive beyond heavy US tariffs?