Wakimbizi waliokuwa kakuma waishi makao mapya

  • | Citizen TV
    621 views

    Serikali pamoja na mashirika yanayowashughulikia wakimbizi yametakiwa kuhakikisha ushirikiano mwema kati ya wakibimbi jamii za maeneo waliyopewa makao nchini. Wakimbizi wanaoishi kwenye maeneo ya makaazi ya kalobeyei kaunti ya turkana na wahisani wao wanalalamikia ubaguzi katika ugavi wa raslimali. Sasa wanahofia kuwa huenda ubaguzi huu ukasababisha mzozo kati ya jamii hizo mbili.