"Wakiona ninaanza kuwasha injini wanashangaa"- Mwanamke nahodha wa boti

  • | BBC Swahili
    929 views
    Kutana na Bi. Bahati Suleiman ni nahodha wa boti ya kutembeza watalii visiwani zanzibar na amekuwa akifanya kazi hiyo kwa takribani miaka 25 hadi sasa. Mwandishi wa BBC Esther Namuhisa alifika visiwani humo ili kuweza kujua ni kwa namna gani mwanamke huyu alithubutu kujitumbukiza katika kazi hiyo ambayo inaaminika kwamba ni miongoni mwa kazi za wanaume tu: 🎥Eagan Salla #bbcswahili #tanzania #zanzibar