Wakongwe washiriki kandanda mjini Iten

  • | Citizen TV
    265 views

    Mji wa Iten leo ulifurika furifuri baada ya mamia ya wakongwe kutoka sehemu mbalimbali nchini, kujumuika na kucheza soka wakisheherekea siku ya wakongwe ulimwenguni hii leo