23 Aug 2025 7:25 pm | Citizen TV 665 views Duration: 2:55 Mji wa Iten leo ulifurika furifuri baada ya mamia ya wakongwe kutoka sehemu mbalimbali nchini, kujumuika na kucheza soka wakisheherekea siku ya wakongwe ulimwenguni hii leo