Wakuilima wa kilifi washauriwa waanze kupanda miche ya matunda itakayosaidia katika kilimo biashara

  • | Citizen TV
    257 views

    Huku mvua ikiendelea kunyesha katika maeneo mbali mbali nchini serikali ya kaunti ya kilifi kupitia wizara ya kilimo imewahimiza wakazi wa eneo hilo kupanda mimea ya matunda itakayosaidia katika kilimo biashara.