Wakulima 10,000 kunufaika na mbegu za alizeti Siaya

  • | Citizen TV
    143 views

    Wakulima 10,000 wameratibiwa kunafaika na mbegu za alizeti katika kaunti ya Siaya kupitia jitihada za pamoja za serikali kuu na kaunti hiyo.