Wakulima Embu wakosoa wakurugenzi wa KTDA kwa kutumia nyadhifa kwa maslahi ya kisiasa

  • | NTV Video
    48 views

    Sehemu ya wakulima wa chai kutoka Kaunti ya Embu wamekosoa wakurugenzi wa KTDA (Shirika la Maendeleo ya Chai Kenya), wakidai kuwa wanatumia nyadhifa zao kuendeleza maslahi ya kisiasa kuelekea uchaguzi wa 2027 na mfululizo wa siasa.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya