Wakulima katika eneo la Kaputir Turkana kusini,wameanzisha miradi ya upanzi wa mti wa Moringa

  • | Citizen TV
    103 views

    Wakulima katika eneo la Kaputir Turkana kusini,wameanzisha miradi ya upanzi wa moringa Oloifera katika juhudi za kukabiliana na baa la njaa na umaskini Turkana. Wakulima hao wanasema kuwa mti wa wa Moringa hukuwa haraka na una manufaa mengi. Mbali na matawi yake kuwa chakula mizizi,mbegu na hata ngozi yake inasemekana kuwa dawa.