Wakulima katika kaunti ya Busia wageukia ufugaji wa samaki ili kupata faida

  • | Citizen TV
    105 views

    Kaunti ya mpakani ya Busia ni miongoni mwa kaunti nchini ambazo zinaongoza kwa shughuli za uvuvi mbali na ufugaji wa samaki kwenye vidimbwi. Wakulima katika kaunti ya Busia sasa wamegeukia ufugaji wa samaki kwa wingi na kukumbatia zaidi kilimo hicho ikilinganishwa na aina zingine za kilimo biashara.