Wakulima kaunti ya Bungoma washauriwa kutumia Udongo vizuri

  • | West TV
    27 views
    Wakulima wa kaunti ya Bungoma wametakiwa kuwa na mazoea ya kutumia vizuri udongo wao ili kuimarisha mazao wakati wa upanzi.