Wakulima kaunti ya Nandi wahimizwa kupanda mianzi ili kuimarisha hali ya mazingira

  • | Citizen TV
    621 views

    Wakulima kaunti ya Nandi wamehimizwa kupanda mianzi ili kuimarisha hali ya mazingira. Wanamazingira wakisifia faida za mmea huu kwa mazingira na hata kuimarisha uchumi, wamewataka wakaazi pia kuona faida zaidi za mapato yanayotokana na upanzi wake.