Skip to main content
Skip to main content

Wakulima kaunti ya Wajir waitaka serikali kununua nyasi ya wenyeji

  • | Citizen TV
    403 views
    Duration: 1:36
    Wakulima katika Kaunti ya Wajir wameiomba serikali ya kitaifa kununua malisho yanayozalishwa ndani ya kaunti hiyo kama sehemu ya juhudi zinazoendelea za kukabiliana na ukame.