Wakulima Kiambu waanza kushabikia majani ya 'Orthodox'

  • | Citizen TV
    223 views

    Wakulima katika kaunti ya Kiambu sasa wanafanya kwa kiasi kikubwa kilimo cha majani chai aina ya orthodox, inayoahidi mapato bora na fursa za soko la kimataifa