Wakulima Kiambu waanza kushabikia majani ya 'orthodox'

  • | Citizen TV
    178 views

    Wakulima katika kaunti ya Kiambu sasa wanafanya kwa kiasi kikubwa kilimo cha majani chai aina ya orthodox, inayoahidi mapato bora na fursa za soko la kimataifa.