Wakulima kijiji cha Mutunyi Meru walalamika

  • | Citizen TV
    206 views

    Kero ya ndovu katika kijiji cha Mutunyi eneobunge la Buuri kaunti ya Meru imesababisha wakaazi kuasi ukulima na kuhamia maeneo mengine kwa miaka mingi. Hata hivyo wakazi sasa wameanza kurejea kwao na kuendeleza kilimo baada ya ukuta wa umeme kujengwa ili kuwazuia ndovu kuvamia makazi ya watu.