Wakulima kutoka Baringo wakosa eneo la kukausha mahindi

  • | Citizen TV
    311 views

    Wakulima katika eneo la Perkerra Baringo Kusini wana hofu kwamba mazao yao yanaweza kuharibika kwa kukosa eneo la kukaushia mahindi msimu huu wa mvua ya elnino.