Wakulima kutoka kaunti ya Kitui washauriwa kukumbatia ukuzaji wa alizeti

  • | Citizen TV
    172 views

    Wakulima kutoka kaunti ya kitui wamehimizwa kuanzisha kilimo cha alizeti ambacho hakihitaji mvua nyingi na mazao yake yana faida kubwa.