Wakulima Loitoktok waanza kushabikia kilimo endelevu

  • | Citizen TV
    171 views

    Wakulima katika eneo la Loitokitoka Kaunti ya Kajiado wameanza kushabikia kilimo endelevu ambapo wanatumia mbinu za kiasili kukuza vyakula mseto shambani.