Wakulima magharibi wametakiwa kupanda mitende

  • | Citizen TV
    698 views

    Wakulimamaeneo ya magharibi wametakiwa kupanda mitende ili kutosheleza mahitaji ya mafuta nchini. Taasisi ya utafiti wa kilimo na mifugo KALRO eneo la Alupe, kaunti ya Busia sasa iko mbioni kuzalisha miche milioni 2.5. Kenya huagiza mafuta ya mitende kutoka mataifa ya nje.